Publication:
The Role of government in enhancing economic opportunities for women

Date
2024
Authors
Strathmore Business School
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Strathmore University Business School
Organizational Units
Journal Issue
Abstract
The Growth and Economic Opportunities for Women (GrOW) East Africa initiative seeks to spur transformative change to advance gender equality in the world of work. GrOW East Africa is a partnership between the Bill & Melinda Gates Foundation, The William and Flora Hewlett foundation, and Canada's International Development Research Centre. GrOW East Africa funded a research project by Strathmore Business School on Enhancing the effectiveness of government procurement programs in achieving women's economic empowerment in Kenya.
---------
Mpango wa Ukuaji na Fursa za Kiuchumi wa Wanawake (GrOW) Afrika Mashariki, unalenga kuchochea mabadiliko ya kuleta usawa wa kijinsia kwenye fursa za kazi. GrOW East Africa ni ushirikiano kati ya Bill na Melinda Gates Foundation, William na Flora Hewlett Foundation, na Kituo cha Utafiti wa Maendeleo ya Kimataifa cha Kanada. GrOW East Africa ilifadhili mradi wa utafiti wa Shule ya Biashara ya Strathmore kuhusu kuimarisha ufanisi wa mradi wa ununuzi wa serikali katika kufikia uwezeshaji wa wanawake kiuchumi nchini Kenya. Mradi huo ulilenga Mpango was Kenya wa Kupata Fursa za Ununuzi wa Serikali (AGPO).
Description
Keywords
Citation